Nyimbo za Christmas Noeli - Sauti Tamu | Njooni Wapenzi | Bwana Yesu Kazaliwa

Описание к видео Nyimbo za Christmas Noeli - Sauti Tamu | Njooni Wapenzi | Bwana Yesu Kazaliwa

00:00 Njooni Wapenzi Tufanye Shangwe
03:31 Bwana Yesu Kazaliwa
06:43 Vigelegele na Tupige
11:42 Mbali Kule Nasikia
16:21 Leo Yatimizwa

Waimbaji : Sauti Tamu Melodies
Mtayarishaji Martin Munywoki

Njooni wapenzi tufanye shangwe, Mwokozi Bwana amezaliwa

Ni kusanyiko la nyimbo tamu za Christmas Kanisa Katoliki, best Catholic Christmas songs.

Furahia nyimbo nzuri za #kwayakatoliki kutoka channel yetu ya #SautiTamu pamoja na channels nyinginezo kama Rajo Production, Tanganyika Production, C-Gen, Holy Trinity KMK Makuburi, DOKC, Tindinyo, na nyinginezo.

Wape pia support waimbaji mbali mbali kama Anastacia Muema, Mercy Mutiso, Caroline Mwiti, Mike Music, Lawrence Kameja na wengine wote wanaonituma katika utume huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке