Faida za Karafuu Mwilini: Fahamu karafuu na faida zake kama utatumia punje 1 kila siku.

Описание к видео Faida za Karafuu Mwilini: Fahamu karafuu na faida zake kama utatumia punje 1 kila siku.

Karafuu (cloves) ni kiungo ambacho kina sifa nyingi za kiafya. Faida za karafuu ni pamoja na:

1. Kupunguza Maumivu ya Jino
2. Kukuza Afya ya Ini
3. Kuboresha Afya ya Mmeng'enyo wa Chakula
4. Kupambana na Maambukizi
5. Kupunguza Uchovu
6. Kuboresha Afya ya Ngozi
7. Kuimarisha Kinga ya Mwili
8. Kupunguza Shinikizo la Damu
9. Kusaidia Kupunguza Uzito
10. Kuboresha Afya ya Mapafu
11. Kusaidia Katika Afya ya Wanaume

Katika video hii utajifunza na kufahamu Faida za Karafuu Mwilini kama utatumia punje 1 kila siku.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке