MWENYEKITI WA KANISA LA WA ADVENTISTA WA SABATO DUNIANI MCHUNGAJI TEDY WILLSON AKIFANYA UINJILISTI.

Описание к видео MWENYEKITI WA KANISA LA WA ADVENTISTA WA SABATO DUNIANI MCHUNGAJI TEDY WILLSON AKIFANYA UINJILISTI.

MWENYEKITI WA KANISA LA WA ADVENTISTA WA SABATO DUNIANI. MCHUNGAJI TEDY WILLSON AKIFANYA UINJILISTI.
UINJILISTI HUU NI KWA KUGAWA VITABU NYUMBA KWA NYUMBA PAMOJA NA KUWAOMBEA BARAKA.

JIFUNZE: HAIJALISHI UNACHEO CHA JUU NAMNA GANI, MUHIMU NI KUWA AMUA KUFANYA KAZI YA MUNGU PASIPO KUJIKWEZA.
KUMBUKA KUWA ATAKAYE INGIA MBINGUNI NI ALIYEJISHUSHA NA KUTENGENEZWA NA MUNGU WALA SI KWA UMARIDADI WA DUNIANI AU CHEO.
MUNGU AKUBARIKI SANA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке