KAMPENI YA KILIMO NI MBOLEA YAFIKA KILOSA

Описание к видео KAMPENI YA KILIMO NI MBOLEA YAFIKA KILOSA

Tunawakaribisha wananchi wote wa Kilosa na maeneo ya jirani kwenye Mkutano wa Wakulima utakaofanyika siku ya Jumatatu, pale kwenye uwanja wa shule ya msingi KILOSA TOWN kuanzia saa 3 Asubuhi, ambapo;

* Elimu ya matumizi sahihi ya Mbolea itatolewa

* Wakulima wataweza kusajiliwa kwenye daftari la mkulima na baadaye kuingizwa kwenye mfumo wa mbolea za ruzuku

* Burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali zitakuwepo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке