Mt. Kizito Makuburi - Mchungaji mwema-Kahamba (Live Performance)

Описание к видео Mt. Kizito Makuburi - Mchungaji mwema-Kahamba (Live Performance)

Karibu kutazama wimbo wa Mchungaji mwema, utunzi wake Gregory Kahamba, kama ulivyoumbwa na KMK MAKUBURI katika Dominika ya 4 ya Pasaka, ambayo pia hutambulika kama Dominika ya Mchungaji mwema.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке