Zanzibar: Mafunzo ya uogeleaji kwa wasichana

Описание к видео Zanzibar: Mafunzo ya uogeleaji kwa wasichana

#VijanaMubashara #77Asilimia
Je wajua kuogelea? Je utamaduni wako unawaruhusu na kuwawezesha wasichana kuogelea? Kutana na binti anayewafundisha wasichana wengine mbinu za kuogelea Zanzibar.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке