Twasema Asante || The Saints Ministers (Official Video)

Описание к видео Twasema Asante || The Saints Ministers (Official Video)

Credits:
Composer: Wiclief Oguta
Instrumental Track : Ayoyi Pro
Audio Producer: Pro Emma; Airwaves Studio

LYRICS
1. Jambo kubwa hakika ilikuwa kama ndoto inayomjia mja anapolala usiku, Kazaliwa tulisherehekealo leo. Huduma hii kwa kweli Mungu amejitukuza, Amekuwa mwaminifu kila hatua kila siku Mungu. Ndipo twajiwasilisha mbele zake kwa sifa kuu Jehova....

2. Haijawahi kuwa rahisi safari hii ila Mungu ajuaye alikotutoa ajua anakotupeleka. Tumezama ndani ya uongozo wake tena hatutoki kamwe. Haijalishi tutakatwa tufungwe minyororo twaamini hatatuacha

3. Tumebariki wengi kwa namna mbalimbali , kwa nyimbo tunazo shuhuda wengi wameokoka kanda zetu zilizo hewani zinaongoa mioyo...........Neno litatoweka ikiwa himizo tosha wanadamu wawe ange . Mifupa yaishi tena Matumaini makubwa kwetu. Kilammoja na aseme Zangu ni Shukurani sababu ya Mifulizo ya Baraka . Mungu Yu Nasi huyu Mungu ni Nani Aliyetufikisha hapa yu tayari kutupigisha hatua nyingine

:::Amina na iwe hivyo (kwani) umetufanikisha twasema asante.......#Umetuheshimisha...twasema asante

sms@10 #TwasemaAsante #zangunishukrani

Комментарии

Информация по комментариям в разработке