ROHO YA UHARIBIFU NA MAUTI (SEHEMU YA MWISHO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

Описание к видео ROHO YA UHARIBIFU NA MAUTI (SEHEMU YA MWISHO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

Baada ya kuwa na mfululizo wa kujifunza namna roho ya uharibifu na mauti zinavyofanya kazi,pia kupita kwenye maombi na maombezi kuondoa roho hizi,jumapili hii ilikuwa ni sehemu ya mwisho ya maombezi juu ya somo hili.Mungu akituma neno lake huwa halimrudii bure,tumeona na tumeshuhudia akiwafungua watu wengi sana kutoka kwenye kifungo hiki.
Karibu ufuatilie mfululizo wa neno hili katika ukurasa wetu huu,ambalo lina jina ''ROHO YA UHARIBIFU NA MAUTI'' ili uweze kuelewa kiundani juu ya roho hizi ili pia katika maombi haya uwe unajua kwa ukubwa kuwa unaondoa nini.

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook:   / therealityof.  .
Follow our Instagram:   / realityofch.  .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке