Mtanzania aishiye Uingereza afunguka mengi usiyoyajua kuhusu nchi hiyo, ayataja mazuri ya kuiga

Описание к видео Mtanzania aishiye Uingereza afunguka mengi usiyoyajua kuhusu nchi hiyo, ayataja mazuri ya kuiga

Mahojiano na Boka Lyamuya ambaye ni Mkurugenzi na Mwanzilishi wa kampuni ya Veritable Complete Motors inayojihusisha na uagizaji wa magari kutoka Uingereza. Anafunguka maisha yalivyo katika nchi hiyo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке