IGULWA SDA CENTRAL CHOIR- ATAPE(4k video)

Описание к видео IGULWA SDA CENTRAL CHOIR- ATAPE(4k video)

Karibu ndugu mpendwa katika kushiriki Baraka hizi kupitia wimbo huu mzuri unaoitwa "ATAPE" CHAMA CHA WAJASIRIAMALI KANISANI......Huu ni ujumbe Maalumu kwako mpendwa unayehitaji kupata badiliko kiuchumi, na kiroho pia. SHIRIKI BARAKA HIZI PAMOJA NASI KWA KU SHARE, KU SUBSCRIBE, KU LIKE KU COMMENT PIA. MUNGU AKUBARIKI SANA UNAPOFANYA HIVYO.
Wafilipi 4:19
Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika,utukufu, ndani ya Kristo Yesu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке