PASIPO KUKUA KIROHO HUWEZI KUMSHINDA ADUI

Описание к видео PASIPO KUKUA KIROHO HUWEZI KUMSHINDA ADUI

"Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli; tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Wakamjibu, Sisi tu uzao wake Ibrahimu, wala hatujawa watumwa wa mtu wakati wo wote; nawe wasemaje, Mtawekwa huru? Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. Wala mtumwa hakai nyumbani sikuzote; mwana hukaa sikuzote. Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli." Yohana 8:31

This video was brought to you by WRM Television Networks®.

Welcome to all our Online Family who are joining us from around the world. This is your Home and Altar.

We are praying for you. Every blessing declared on this Altar is YOURS. GOD BLESS YOU.

Share Your Testimony through WhatsApp Video on +255 673 117 117

CONTACT US: +255 763 813 307, +255 655 448 116 or +255 688 448 117

Комментарии

Информация по комментариям в разработке