Hustler: Idrisa Magesa - Muuzaji wa Uji aliyeupa THAMANI na anayevutia wateja wengi vijana wa mjini

Описание к видео Hustler: Idrisa Magesa - Muuzaji wa Uji aliyeupa THAMANI na anayevutia wateja wengi vijana wa mjini

Idrisa Magesa ni #Hustler anayefahamika zaidi kama Idrisa Muuza Uji. Amefanikiwa kuifanya biashara yake ya uji uitwao Habpab kuwa habari ya mjini Dar es Salaam. Habpab sio ujio kama uliouzoea gengeni, ni uji mtamu unaochanganywa na vitu mbalimbali kuufanya uwe na ladha ya kipekee.

Kutokana na ubunifu wake katika kuuza ujio wa #Habpap, watu wengi hususan vijana humiminika kwenye kibanda chake mida ya jioni kuunywa na huku wakiendeleza soga. Ifahamu zaidi safari yake na matarajio yake makubwa kuufanya uji wa Habpap kuwa bidhaa itakayopatikana kimataifa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке