KUJIAMINI NI SILAHA KUBWA

Описание к видео KUJIAMINI NI SILAHA KUBWA

Kujiamini ni silaha kubwa maishani.
Jenga uwezo wa kujiamini katika maisha yako ya kila siku na utaona faida kubwa katika mafanikio yako. Leo hii jifunze sababu zinazowafanya watu wengi washindwe kujiamini.
Kumbuka kufahamu ni bora sana katika maisha lakini kuchukua hatua baada ya kufahamu ni bora zaidi. Basi yafanyie kazi mambo haya yanayoletwa kwako na mtaalam wa maswala ya saikolojia ya mwanadamu Mr. Kalungu Psychomotive.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
TUFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM:   / successpathnetwork  .

For Business please send an email
[email protected]
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076

#Jiamini #KalunguPsychomotive #SPN

Комментарии

Информация по комментариям в разработке