| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 3]

Описание к видео | UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 3]

Rais Ruto ameahidi kufanya mabadiliko serikalini
Bajeti za ofisi za mkewe rais na wa naibu rais zaondolewa
Serikali ilitangaza hatua za kupunguza matumizi
Rais amevunja mashirika 47 yenye kazi zinazofanana
Rais aahidi kupunguza washauri wake kwa 50%
Deni la taifa lilikuwa ksh.10.398t kufikia mwezi machi
Rais ameteua jopo la kutathmini madeni ya taifa
LSK yasema ni kazi ya ofisi ya mhasibu mkuu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке