Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Serikali Morogoro yaboresha uuzaji wa karafu, lengo kuwabana matapeli dhidi ya wakulima.

  • RS MOROGORO
  • 2026-03-10
  • 12
Serikali Morogoro yaboresha uuzaji wa karafu, lengo kuwabana matapeli dhidi ya wakulima.
  • ok logo

Скачать Serikali Morogoro yaboresha uuzaji wa karafu, lengo kuwabana matapeli dhidi ya wakulima. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Serikali Morogoro yaboresha uuzaji wa karafu, lengo kuwabana matapeli dhidi ya wakulima. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Serikali Morogoro yaboresha uuzaji wa karafu, lengo kuwabana matapeli dhidi ya wakulima. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Serikali Morogoro yaboresha uuzaji wa karafu, lengo kuwabana matapeli dhidi ya wakulima.

Serikali Morogoro yaboresha uuzaji wa karafu, lengo kuwabana matapeli dhidi ya wakulima.

Serikali ya Mkoa wa Morogoro imeendelea kuboresha maisha ya wananchi wake na kujenga maghala ya masoko ya kuuzia mazao na viungo hususan katika Halmashauri ya Morogoro DC ili kuondoa utapeli uliokuwepo ambapo wananchi walikuwa wakitapeliwa mazao yao kwa kuuza mazao hayo kwa bei ya chini, jambo lililowapelekea kudidimia kiuchumi.

Hayo yamebainishwa Machi 10, 2026 na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, wakati wa ziara yake ya kugawa miche kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule za Sekondari za Tawa na Matombo zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro.

Dkt. Mussa amesema, awali wananchi walikuwa wakiuza karafuu kwa bei ya chini kutokana na uwepo wa matapeli waliokuwa wakiwadhulumu bila wao kujua. Kutokana na hali hiyo, serikali imeweka mikakati ikiwemo ujenzi wa soko maalum kwa ajili ya uuzaji wa mazao yao ili kuondokana na utaratibu wa kuuza mazao shambani, ambapo wakulima wengi wamedhulumiwa na baadhi ya wanunuzi.

“...Tukasema tutafute fedha na tuilazimishe halmashauri ijenge soko la kuuza viungo, ikiwemo karafuu pamoja na viungo vingine, Lengo ni kuondoa ule utapeli wa katikati...” amesema Dkt. Mussa Ali Mussa.

Aidha, Katibu Tawala huyo amewataka wazazi, walezi pamoja na wanafunzi kuhakikisha miche hiyo inapandwa na kutunzwa vizuri ili iweze kuwasaidia wanafunzi mara baada ya kumaliza elimu ya sekondari na kuwasaidia wanapoendelea na masomo ya juu.

Naye Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Uchumi na Uzalishaji Mali, Dkt. Rozalia Rwegasira, amesema, mwaka huu jumla ya miche 2,650 ya kakao iligawiwa kwa Halmashauri ya Mlimba kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na huku miche 9,680 wakipewa Halmashauri ya Morogoro DC ambapo ugawaji umeanza katika Shule ya Sekondari Tawa miche 410, Sekondari ya Matombo miche 910.

Kwa upande wake, Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Tawa, Bw. Omary Tufahamu, amesema uanzishwaji wa upandaji wa kitalu cha miche umeongeza kipato katika shule hiyo na kwamba jumla ya miche14,000 ya karafuu imeuzwa kwa shilingi milioni 14, ambapo fedha hizo zitatumika katika ukarabati wa nyumba ya mwalimu, ukarabati wa meza na viti, ujenzi wa choo pamoja na mpango wa chakula kwa wanafunzi.

Mwisho.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • MVUA ZAKATA MAWASILIANO YA BARABARA MIKUMI-IFAKARA MKOANI MOROGORO.
    MVUA ZAKATA MAWASILIANO YA BARABARA MIKUMI-IFAKARA MKOANI MOROGORO.
    2 часа назад
  • Самые полезные и самые вредные орехи: полный рейтинг для здоровья
    Самые полезные и самые вредные орехи: полный рейтинг для здоровья
    1 день назад
  • Wazee wa tuma kwa namba hii wakamatwa Morogoro! Wakutwa na laini 198 na kadi za benki, kwa utapeli
    Wazee wa tuma kwa namba hii wakamatwa Morogoro! Wakutwa na laini 198 na kadi za benki, kwa utapeli
    5 дней назад
  • ЛЕВИЕВ:
    ЛЕВИЕВ: "Скорее всего, это ПРАВДА". Что делает Кремль, как надолго Иран, козыри Украины, КАК ДАЛЬШЕ
    3 часа назад
  • ADHA YA MAEGESHO DAR KUPATIWA SULUHU | BARABARA ZA DAR ES SALAAM KUTAZAMWA UPYA
    ADHA YA MAEGESHO DAR KUPATIWA SULUHU | BARABARA ZA DAR ES SALAAM KUTAZAMWA UPYA
    4 дня назад
  • AWF kushirikiana na mkoa kuwainua wananchi kiuchumi.
    AWF kushirikiana na mkoa kuwainua wananchi kiuchumi.
    2 недели назад
  • MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO, BARABARA YA NYEGEZI–MWANZA MJINI YAFUNGWA.
    MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO, BARABARA YA NYEGEZI–MWANZA MJINI YAFUNGWA.
    16 часов назад
  • Премьер-министр ликвидирован? / Немецкие военные атакованы
    Премьер-министр ликвидирован? / Немецкие военные атакованы
    20 часов назад
  • Что происходит внутри Ирана? | Варламов — о последствиях войны США и Израиля против Ирана
    Что происходит внутри Ирана? | Варламов — о последствиях войны США и Израиля против Ирана
    1 день назад
  • Serikali kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji kuboresha maisha ya wananchi
    Serikali kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji kuboresha maisha ya wananchi
    8 дней назад
  • BIBI APEWA RUKSA NA WAZIRI MKUU ATAJE PESA ANAYOTAKA KULIPA BAADA YA AFISA ARDHI KUSHINDWA KUONGEA
    BIBI APEWA RUKSA NA WAZIRI MKUU ATAJE PESA ANAYOTAKA KULIPA BAADA YA AFISA ARDHI KUSHINDWA KUONGEA
    23 часа назад
  • Halmashauri zasisitizwa kutenga 10% kwa Vijana, Wanawake na Wenye Ulemavu
    Halmashauri zasisitizwa kutenga 10% kwa Vijana, Wanawake na Wenye Ulemavu
    3 недели назад
  • RAS MOROGORO AAGIZA WAKULIMA MGETA KUPATIWA MICHE
    RAS MOROGORO AAGIZA WAKULIMA MGETA KUPATIWA MICHE
    6 дней назад
  • Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    11 дней назад
  • RC Morogoro asisitiza ulinzi wa haki za wanawake
    RC Morogoro asisitiza ulinzi wa haki za wanawake
    2 дня назад
  • GWARIDE la ASKARI WAPYA wa JESHI la ZIMAMOTO WAKIFUNGA MAFUNZO - WAONGOZWA na BENDI ya UHAMIAJI....
    GWARIDE la ASKARI WAPYA wa JESHI la ZIMAMOTO WAKIFUNGA MAFUNZO - WAONGOZWA na BENDI ya UHAMIAJI....
    4 месяца назад
  • Полный запрет VPN и другие НОВЫЕ ЗАКОНЫ, которые ИЗМЕНЯТ ЖИЗНЬ РОССИЯН!
    Полный запрет VPN и другие НОВЫЕ ЗАКОНЫ, которые ИЗМЕНЯТ ЖИЗНЬ РОССИЯН!
    22 часа назад
  • MKE WA PROFESA NGOWI: “WAZIRI MWIGULU MADELU SACCOS YA MZUMBE UNIVERSITY HAWATAKI KUNIPA PESA YANGU”
    MKE WA PROFESA NGOWI: “WAZIRI MWIGULU MADELU SACCOS YA MZUMBE UNIVERSITY HAWATAKI KUNIPA PESA YANGU”
    3 месяца назад
  • То, что НАШЛИ на Дне Озера Севана может изменить Историю Армении
    То, что НАШЛИ на Дне Озера Севана может изменить Историю Армении
    3 дня назад
  • 💥ТОЛЬКО ЧТО! ОРБАНУ ПРИЛЕТЕЛО ОТ ЗЕЛЕНСКОГО! МОЩНАЯ ОТВЕТКА ЗА КИЕВ: ФИЦО АЖ ПОБЕЛЕЛ! — ТЕЛЕШУН
    💥ТОЛЬКО ЧТО! ОРБАНУ ПРИЛЕТЕЛО ОТ ЗЕЛЕНСКОГО! МОЩНАЯ ОТВЕТКА ЗА КИЕВ: ФИЦО АЖ ПОБЕЛЕЛ! — ТЕЛЕШУН
    3 часа назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com