Machozi ya Askofu KILAINI wakati wa homilia kifo cha Padre Kijana aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.

Описание к видео Machozi ya Askofu KILAINI wakati wa homilia kifo cha Padre Kijana aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.

Ibada ya mazishi ya Asterius Mutegeki, aliyefariki tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa hivyo. Ni majonzi makubwa. Alikuwa anafanya kazi katika Parokia ya Ishozi wilaya ya Misenyi Jimboni Bukoba.
#kanisakatoliki #breezonlinetv #bukoba #RadioMbiu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке