Maajabu ya Ziwa Kindai - “Kindai alitumbukia, akapatikana baada ya siku tatu akiwa hai” (MAKALA)

Описание к видео Maajabu ya Ziwa Kindai - “Kindai alitumbukia, akapatikana baada ya siku tatu akiwa hai” (MAKALA)

Hii ni Makala inayoangazia historia ya Ziwa Kindai linalopatikana mjini Singida ambalo awali ilikuwa ni mbuga ikitumiwa na wafugaji.

Mmoja kati ya wafugaji hao alifahamika kwa jina la Kindai. Mfugaji huyo alitumbukia kwenye bwawa hilo wakati wakioga, lakini alipatikana baada ya siku tatu akiwa hai, na hapo ndipo ziwa hilo lilipoanza kuitwa Kindai.

Ni bwawa ambalo linategemewa kwa kiasi kikubwa na wakazi wa Singida kwa chumvi, maziwa na samaki lakini limekuwa na maajabu ya hapa na pale, ikiwemo wakazi wa eneo hilo kupoteza mtu kila mwaka.

Cha kuvutia zaidi ni historia yake ambayo kwenye Makala hii imeelezwa kwa kina kuanzia chimbuko la ziwa lenyewe na hadi asili ya jina la Kindai.

Salim Mhando amezungumza na wenyeji ambao ndiyo watuamiaji na wanaijua vizuri historia ya ziwa hilo ambao wamesimulia maajabu mengi wanayoyashudia kwenye ziwa hilo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке