Mmoja wa Walinzi wa JPM Atunukiwa Gari la Kifahari

Описание к видео Mmoja wa Walinzi wa JPM Atunukiwa Gari la Kifahari

Mmoja wa Walinzi wa JPM Atunukiwa Gari la Kifahari

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewatunuku vyeti na zawadi za Pikipiki,Saruji, Mabati,fedha na vifaa vya ndani kwa Askari polisi wazalendo waliofanya vizuri katika kazi yao na kuwataka Askari wengine kujituma kwa moyo mmoja kulinda usalama wa raia na Mali zao.

aidha RC Makonda amekutana tena na askari polisi katika hafla ya chakula cha jioni pampoja na burudani mbalimbali ambapo pia amewakabidhi Zawadi ya magari mawili askari wa kiume na wa kike waliofanya kazi nzuri.

#RCMAKONDA

https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Комментарии

Информация по комментариям в разработке