🔴

Описание к видео 🔴

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Godbless Lema ametaja sababu ya kurudi Tanzania bila familia yake akisema kuwa amekuja kuandaa mazingira kwanza kabla ya wao kuja.

Lema ametoa kauli hiyo kupitia mahojiano maalum aliyofanya na Mwananchi Digital leo Machi 2, 2023.

Amesema kukimbia na watoto na mke ni jambo gumu lakini yeye akisikia anatafutwa inakua ni rahisi na kwamba kama familia wamekubaliana kurudi kwa awamu.

"Tumelubaliana turudi kwa awamu na mimi ndo nitangulie kuja kuweka mazingira mazuri, kuna vitu vingi vya kufanya na tulivyofika Canada mke wangu alianza shule na watoto pia, yule mkubwa anatarajia kuanza chuo kati ya mwezi wa saba au wa nane

Комментарии

Информация по комментариям в разработке