Mahakama ya Milimani inasikiza kesi ya kuondolewa kwa Gachagua katika bunge la kitaifa na seneti

Описание к видео Mahakama ya Milimani inasikiza kesi ya kuondolewa kwa Gachagua katika bunge la kitaifa na seneti

Mahakama ya Milimani hii leo inasikiza kesi iliyowasilishwa na naibu rais kupinga kuondolewa kwake katika bunge la kitaifa, bunge la seneti na vilevile mahakamani. Mawakili wa rigathi gachagua wameibua maswali kuhusu jopo la majaji wanaosikiza kesi ya gachagua.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке