Diamond Platnumz na Meneja wake SALLAM hicho ndio wanachogombania kila mara, Q Boy ahusika

Описание к видео Diamond Platnumz na Meneja wake SALLAM hicho ndio wanachogombania kila mara, Q Boy ahusika

THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.

Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy.

Subscribe, Watch, Share.

Part 1:    • Diamond Platnumz: Alichokifanya JOKAT...  

Niguse kwenye social networks:

  / lilommy  

  / lilommy  

http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке