NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI

Описание к видео NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI

Jina langu naitwa Halima Mohamed Mgaza, nilizaliwa mwaka 1995 katika mkoa wa Kilimanjaro wilayani Moshi mjini. Wakati nikiwa natafakari hayo mabadiliko ya ulimwengu juu yangu nikajikuta naangukia katika jaribu la
kipekee, jaribu ambalo hata familia yangu ililazimika kusimama mbali nami na kufanya subra kimaamuzi iwapo wasogee ama wakimbie moja kwa moja.
Narejea kulitambulisha jina langu mpenzi msomaji wa mkasa huu.
Naitwa Halima Mohamed Mgaza. Tafadhali nakusihi sana ujifunze na kuchukua tahadhari kwa yale yaliyonitokea.
‪@ankojay_‬

Комментарии

Информация по комментариям в разработке