Balozi za nchi 13 zatoa taarifa kuhusu maandamano

Описание к видео Balozi za nchi 13 zatoa taarifa kuhusu maandamano

Maandamano yalipozuka nchini kote Jumanne kuhusu Mswada tata wa Fedha wa mwaka 2024, kulitokea shinikizo kwa nchi ya MAREKANI iKIjikuta katika njia panda katika uhusiano wake na Kenya. Taarifa ya pamoja kutoka Marekani, Uingereza, na Canada, pamoja na wanadiplomasia wengine wa kimataifa, ilihimiza mazungumzo ili kusuluhisha mzozo huo lakini kwa uangalifu iliepuka masuala tata ya ushuru yanayochochea machafuko.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке