Bwana Moyo Wangu by H.Makelele

Описание к видео Bwana Moyo Wangu by H.Makelele

Wimbo-Bwana moyo wangu
Mtunzi-H.Makelele
sung by St Luke YCA Choir Mulumba

Maneno Ya Wimbo
Bwana moyo wangu hauna kiburi
Nayo macho yangu hayainuki } *2
{ Wala sijishughulishi na mambo makuu
Yanayozishinda nguvu zangu } *2

Hakika nimetuliza nafsi yangu, na pia kuinyamazisha

Kama mtoto aliyeachishwa ziwa, kifuani kwa mamaye

Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu mimi, tangu leo hata milele

Комментарии

Информация по комментариям в разработке