Wanameremeta - Bernard Mukasa | Sauti Tamu Melodies || wimbo wa Harusi/Ndoa (wedding song)

Описание к видео Wanameremeta - Bernard Mukasa | Sauti Tamu Melodies || wimbo wa Harusi/Ndoa (wedding song)

Leo ndiyo leo - leo shangwe leo;
Leo ndio leo - leo tufurahi wote

Wanameremeta - wanameremeta
wapendwa wanameremeta
tazama wanawakawaka
Wanameremeta

This is one of the best wedding songs that shouldn't miss in your wedding day procession.


Arranged by Bernard Mukasa
Organist - Mkude Sekulu


Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki

Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies

Nyimbo nyingine za sherehe za ndoa zenye umaarufu ni pamoja na Maneno Matamu, I love you mpenzi wangu (Siku tuliyoingoja), Harusi Maua, Tuwashangilie maharusi Bwana harusi na Bibi harusi, pingu za maisha leo mmeshazifunga wewe ni kipenzi changu, n.k

Tazama nyimbo zaidi kutoka channel hii kama vile Nikupe Nini Mungu Wangu, Nitakwenda Mimi Mwenyewe, Roho Yangu na ikuimbie, Nimeahidi Yesu, Msisimko wa Sifa, na nyingine nyingi za kwaya katoliki zilizopendwa.

kwa nyimbo zaidi fuatilia channel ya Rajo Productions au, Holy Trinity Studios au Tanganyika production na nyinginezo upate nyimbo za kwaya mbalimali, kenya na Tanzania

#SautiTamu #Zilipendwa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке