Hadithi ya Time wa Muambe aliye kitandani kwa miaka 25 |GG Podcast

Описание к видео Hadithi ya Time wa Muambe aliye kitandani kwa miaka 25 |GG Podcast

Time Saleh Ali alizaliwa mzima na akaishi na uzima wake hadi alipofika umri wa miaka 12 akiwa darasa la sita, lakini kwa miaka 25 sasa amekuwa mgonjwa wa kitandani. Hapo hapo alipo, ni mtungaji mzuri wa ushairi. GG Podcast inazungumza naye. Msikilize.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке