JINSI YA KUUNGANISHA INTERNET KATIKA SIMU | KUUNGANISHA WIFI NA HOTSPOT KWENYE SIMU NA COMPUTER

Описание к видео JINSI YA KUUNGANISHA INTERNET KATIKA SIMU | KUUNGANISHA WIFI NA HOTSPOT KWENYE SIMU NA COMPUTER

Leo katika video hii tutajifunza jinsi yakushare internet, kuunganisha internet ya bure kwenye simu yako, pamoja na simu au computer ya mwingine. Jinsi ya kuunganisha wifi na hotspot kwenye simu yako na simu au komputa ya mtu mwingine. Jisikie huru kuuliza swali lolote hapa ‪@Quotes24life‬ YouTube.


#kuunganishainternet #kushareinternet #kuunganishawifi #kutumiainternet #Quotes24life #kutumiawifi #kuunganishasimu #kuungainternet #simuyako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке