Ubongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo Kids

Описание к видео Ubongo Kids Webisode 39 - Kuhesabu kwa Kuruka | Season 3 Ubongo Kids

Angalia webisode za msimu wa tatu wa Ubongo Kids hapa hapa!

Ubongo Kids Webisode 39 - "Kuhesabu kwa Kuruka" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1!

Jifunza hisabati ya kujumlisha kwa kubeba kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon!

Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.

http://ubongokids.com
   / ubongokids  
  / ubongokids  
  / ubongotz  

An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке