UWE MDHAMINI WANGU (VATICAN STYLE).

Описание к видео UWE MDHAMINI WANGU (VATICAN STYLE).

MUNGU MWENYEZI ATUJALIE IMANI, MATUMAINI NA MAPENDO AMINA.

Ni Nani huyu binti achomozaye kama alfajiri, mzuri kama mwezi, anang'aa kama jua anatisha Kama jeshi lililo tayari kupigana🌹🌹

Moyo wangu wamwadhimisha Bwana na Roho yangu inashangilia katika Bwana mwokozi wangu

Barikiwa Kwa ulinzi wa Mama yetu Bikira Maria maishani🙏🙏

1. Njia ninayotembea
siyo nzuri nafahamu
ninashindwa kuepuka
Mama nisaidie.

Uwe mdhamini wangu, Ee Mama mwema Maria, huko Mbinguni uliko, nifike saalama

2. Dhambi zangu zanisonga
Moyo wangu ni dhaifu
Roho imenyong'onyea
Mama nisaidie.

Uwe mdhamini wangu, Ee Mama mwema Maria, huko Mbinguni uliko, nifike saalama

3. Kila ninapotembea
Moyo wangu ni dhaifu
ninashindwa kufahamu
wapi nimesimama.

Uwe mdhamini wangu, Ee Mama mwema Maria, huko Mbinguni uliko, nifike saalama

4. Nikifikiri Maisha
Nikiwaza ya Dunia
Ninashindwa kufahamu
Wapi nimesimama.

Uwe mdhamini wangu, Ee Mama mwema Maria, huko Mbinguni uliko, nifike saalama

Sali rozari kila siku ✍️✍️.

Kwa maombezi ya Bikira Maria tufike Mbinguni.
#virginmedia
#youtube
#subscribe
#song
#humor
#jungkook
#love

Комментарии

Информация по комментариям в разработке