NAONA PENDO - Alexis Byishimo [Official Video]

Описание к видео NAONA PENDO - Alexis Byishimo [Official Video]

Psalms 36:5-6 Your unfailing love, O LORD, is as vast as the heavens; your faithfulness reaches beyond the clouds. Your righteousness is like the mighty mountains, your justice like the ocean depths.

You can support this music ministry via:
Phone: +256780315822
Email: [email protected]

124. NAONA PENDO KUBWA [Nyimbo Za Wokovu]

1. Naona pendo kubwa mno, latoka kwa Mwokozi wangu, ni tele kama maji mengi yatembeayo baharini. Lanitolea tumaini yakwamba nitatiwa nguvu; na niwe mhodari tena kwa pendo kubwa la Mwokozi!

Chorus: Haleluya! Ni pendo kubwa linalotoka moyo wako! E’ Mungu wangu nakuomba: Nijaze pendo lako tele!

2. Na pendo hilo kubwa mno huyaondoa majivuno, na kunifunza haki kweli, uongo wote niuvue! Hunituliza moyo wangu, huruma nayo hunitia. Na sote tuwe na umoja katika pendo la Mwokozi.

3. Nijazwe pendo hilo kubwa, linibidishe siku zote! Rononi niwe na juhudi nitumikie Bwana Yesu! Hazina yako ‘nipeleke kwa watu waliopotea, wafahamishwe pendo kubwa ulilo nalo, Mungu wangu!

#alexis_byishimo_official

Комментарии

Информация по комментариям в разработке