Nyumba za bei nafuu zapingwa Mombasa

Описание к видео Nyumba za bei nafuu zapingwa Mombasa

Wakazi Wa Tudor Na Moroto Eneo Bunge La Mvita Kaunti Ya Mombasa Wanafanya Maandamano Kulalamimka Hatua Ya Ujenzi Wa Nyumba Za Bei Nafuu. Wakaazi Hao Wanailaumu Serikali Ya Kaunti Kwa Kutowahusisha Wala Kuwapa Taarifa Kuhusu Kinachoendelea. Sasa Wanahofia Makazi Yao Yatabomolewa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке