Aliyehukumiwa kwa miaka 30 kwa kosa la kubakaa aachiwa huru

Описание к видео Aliyehukumiwa kwa miaka 30 kwa kosa la kubakaa aachiwa huru

Kijana Tumani Frank mfinanga 24 ambaye alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 30 jela katika gereza la karanga mjini Moshi kwa tuhuma za ubakaji na kumpa mimba ujazuito mwanafunzo hatimaye ameachiwa huru hivi leo siku moja baada ya Mahakam ya rufaa kumuona hana hatia .

Tumani ambaye anadai alisingiziwa kuhusika na tukio la kumbaka binti Maria Amos Sanga aliachiwa huru jana na Mahakama ya rufani katika shauri ambalo lilikuwa likisikilizwa na jopo la majaji watatu wakliongozwa na jaji Winfrida Korosa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке