TUZO ZA MUZIKI TANZANIA MATUKIO MUHIMU | TANZANIA MUSIC AWARDS 2021

Описание к видео TUZO ZA MUZIKI TANZANIA MATUKIO MUHIMU | TANZANIA MUSIC AWARDS 2021

Tanzania Music Awards 2021 Updates*
Kutoka katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere ambapo leo Aprili 2, 2021 kunafanyika hafla ya utoaji tuzo za muziki zilizoandaliwa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia BASATA ambapo tukio limeanza kwa kutoa tuzo za heshima na tuzo maalum iliyotolewa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuthamini mchango wake mkubwa katika sekta ya sanaa nchini.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке