Waandamanaji wa Sri Lanka waendelea kuyakalia majengo ya Ikulu

Описание к видео Waandamanaji wa Sri Lanka waendelea kuyakalia majengo ya Ikulu

Nchini Sri Lanka waandamanaji waendelea kuyakalia majengo ya Ikulu na makaazi ya waziri mkuu kushinikiza rais na waziri mkuu wa nchi hiyo kujiuzulu. Wameonekana wakiogelea, wakicheza karata, kulala vyumbani na hata wakipika chakula kwenye bustani za Ikulu. Chanzo cha maandamano ni hali mzozo wa kiuchumi unaoiandamana nchi hiyo.

#Kurunzi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке