Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Yona Muhutasari HD 1080p

  • Koinonia Education
  • 2024-12-12
  • 376
Yona Muhutasari   HD 1080p
  • ok logo

Скачать Yona Muhutasari HD 1080p бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Yona Muhutasari HD 1080p или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Yona Muhutasari HD 1080p бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Yona Muhutasari HD 1080p

Kipindi cha leo:
Tutapitia muhutasari wetu na kuangalia ujumbe wa kitabu
Kama umepitia kitabu kwa kuisoma kama nilivyoshauri utaona kipindi hiki inathibitisha tu yale unayoyajua
Kama hujasoma Yona basi itakupa kujua kitabu cha Yona ina maelezo gani

Yona 1:1-2
Mungu anamwambia Yona kwamba anahitaji aende Ninewi kuwatahadhalisha na hukumu ya Mungu kutokana na uowu wao

Yona 1:3-4
Kwanza inaonekana Yona anakubali kwa sababu anaanza safari
Ila hana habari ya kwenda Ninewe bali ameamua kumchenga Mungu na kujaribu kutoroka
Anatafuta usafiri kwenda Tarshishi, inapopatikana ananunua tiketi na anapanda chombo
Kumkwepa Mungu si rahisi lakini, na Mungu anavumisha upepo na bahari inachafuka vibaya sana
Meli iko tabani na inonekana itavunjika kwa nguvu za mawimbi

Yona 1:5
Mabaharia wanajaribu kutumia kila mbinu ya kuokoa meli na kujiokoa wenyewe
Wanaanza kutupa mzigo wanaoubeba baharini kusudi wapunguze uzito wa meli.
Kila mtu anamlilia mungu wake wakitafuta nguvu na msaada popote pale
Yona mwenyewe amejibana chini ndani ya meli na amelala usingizi..

Yona 1:6
Noahodha (capten) amekosa kujua la kufanya, imebaki kuwahimiza watu waanze kuomba
Anamfuatilia Yona naye kumwambia yeye pia ashiriki hiyo kazi ya kuomba, at least huenda yupo Mungu kati ya miungu atakayeweza kuwaokoa.

Yona 1:7-15b
Yona bila shaka anaomba lakini hataki kuwaambia kwamba balaa iliyowapata inawezekana yeye ndiye ameisababisha kwa sababu hataki kumtii Mungu
Ila wanapo piga kura kura inamuangukia yeye (katika Biblia tunaona kwamba Mungu mara nyingi anaongoza kura, kwa hiyo siyo bahati na sibu tu)
Hap sasa Yona anaanza kujieleza, na anawaambia pia wakimtupa baharini bahari itatulia, maana yeye ni sababu ya bahari kuchafuka.
Hata hivyo mabaharia wanasita, hawataki kumuangamiza Yona, inaonekana wanaheshimu uhai ya mtu.
Baada ya kujaribu mbinu zote wanazozijua bila kufanyikiwa, wanamlilia Mungu, sasa ni Munug wa Yona, Mungu wa Biblia. wakisema asiwahesabie kosa kwa kujaribu kokoa wengi kwa njia ya kumtupa mtu mmoja baharini, wanajua atafariki..

Yona 15c
Wanamtupa baharini na mara bahari inatulia

Yona 1:16
Mabaharia wanapoona kwamba Mungu wa kweli ni Mungu wa Yona na kamba ameweza kuwaokoa.
Wanaanza kumkubali, wanatoa sadaka kwake na wanatoa ahadi kwake.

Yona 1:17 -2:10
Mubgu anamwambia samaki ammuze Yona na Yona anakaa ndani ya tumbo la huyo samaki kwa siku tatu.
Sasa ujanja wa Yona umemuishia, ameelewa kwamba hakuna ya kumkwepa Mungu na anaaza kumuomba Mungu akiwa anakiri kosa na pa kukuiri ukuu wa Mungu
Baada ya toba ya Yona Mungu akamwamuru yule samaki amteme Yona kwenye nchi kavu, Yona amepona!

Yona 3:1-2
Kwa mara ya pili Mungu sasa anampa Yona jukumu la kuwaendea watu wa Ninewi

Yona 3:3-4
Safari hii Yona anatii wito wa Mungu na anasafiri kwenda Ninewi
Ni mji mkubwa sana na anapofika ndani ya mji anaanza kutangaza hukumu ya Mungu; ”Bado siku arubaini tu na mji huu wa Ninewi utaangamizwa!”

Yona 3:5
Mwitikio ya watu wa Ninewi ni mzuri, wakaamini na wakafanya toba

Yona 3:6-9
Mfalme alipopata habari ya athari inayokaribia naye pia alichukua hatua
Aliamuru kila kiumbe hai ndani ya mji ishiriki toba kamili, huenda Mungu akiona kwaba wamenyenyekea ataacha kutekeleza hukumu yake.
Anawaambia kwamba badiliko lazima ifanyike kwa watu wote, badiliko la kweli!

Yona 3:10
Mungu alipoona kwamba kweli wamebadilisha mwendo wao na kwamba toba yao ilikuwa wa kweli alibadili nia yake

Yona 3:10c
Hukumu haikuwapata, Mungu akaacha kutekeleza alivyokuwa amekusudia

Yona 4:1
Yona kuona kwamba ujumbe aliyouleta haukutekelezwa ikamkera vibaya

Yona 4:2-3
Yona anaanza kumnungunikia Mungu kwa sababu amewahurumia hao watu
Anamkasirikia kwa sababu yeye ni mwepesi wa kusamehe na kuhurumia watu
Amechukia kiasi kwamba anaona hana hata sabau ya kuishi, anamwambia Mungu bora aondoe uhai wake

Yona 4:4-5
Kwanza Munugu anamwambia, unadhani unasababu ya kukasiria? Unadhani ndiyo vizuri kuwa na hisia hizo?
Yona naye bado amenuna na anatoka mjini anajikalia kwa mbali chini ya kibanda ambayo amekijenga.

Yona 4:6-11
Mungu akafanya mmea uote na kukua kwa haraka kiasi cha kwamba Yoa akapata kivuli kizuri pale alipokuwa amekaa
Yona sasa anaanza kufurahia hiyo faida ya kivuli
Kesho yake Mungu anafaya lile mmea ikauke, na isitoshe analeta jua kali na upepo wa kuleta hali ngumu kwa Yona
Yona tena anaanza kulalamika na anamwambia Mungu heri afe tu.
Anapoulizwa na Mungu kama anahaki ya kukasirika anasema ndiyo anayo!
Mungu anamkubusha kwamba mmea uliota kwa neema ya Mungu, wala si kwa nguvu ya Yona. Ilipokauka haikuwa kwa nguvu ya Yona bali kama fundisho kwake. Anajali kivuli kwake lakini hajali watu wengi wakiangamia!
Mungu anamwambia; kuhurumia watu na wanyama wa Ninewi ilikua jambo la muhimu sana kuliko jambo ndogo ya kivuli…
Aliweza kumkemea Yona kwa kutokujali wato 120,000 ila kujali shida ndogo iliyompata.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Mungu ni Tajiri   4K
    Mungu ni Tajiri 4K
    1 месяц назад
  • Mungu ni Mtoaji mwenye mpango mzuri kwetu   4K
    Mungu ni Mtoaji mwenye mpango mzuri kwetu 4K
    1 месяц назад
  • KILICHOMPONZA YONA KUMEZWA NA SAMAKI : THE STORY BOOK
    KILICHOMPONZA YONA KUMEZWA NA SAMAKI : THE STORY BOOK
    4 года назад
  • Пентагон готовит дерзкую операцию против Ирана / Тайная игра Трампа и Нетаньяху /№1107/ Юрий Швец
    Пентагон готовит дерзкую операцию против Ирана / Тайная игра Трампа и Нетаньяху /№1107/ Юрий Швец
    3 часа назад
  • Kitabu cha Zaburi – Full Book of Psalms in Swahili | Prayer, Healing & Comfort
    Kitabu cha Zaburi – Full Book of Psalms in Swahili | Prayer, Healing & Comfort
    1 месяц назад
  • Иран сделал НЕЧТО ШОКИРУЮЩЕЕ против Израиля!
    Иран сделал НЕЧТО ШОКИРУЮЩЕЕ против Израиля!
    14 часов назад
  • “Жить со Христом” Урок 11 Субботняя школа с Алехандро Буйоном
    “Жить со Христом” Урок 11 Субботняя школа с Алехандро Буйоном
    22 часа назад
  • KWA NINI YONA ALIKATAA KWENDA NINAWI?
    KWA NINI YONA ALIKATAA KWENDA NINAWI?
    2 года назад
  • СУББОТА - ДОКУМЕНТАЛЬНЫЕ ДОКАЗАТЕЛЬСТВА ||  МАРК ФИНЛИ || 2026
    СУББОТА - ДОКУМЕНТАЛЬНЫЕ ДОКАЗАТЕЛЬСТВА || МАРК ФИНЛИ || 2026
    3 дня назад
  • Kumfahamu unayemshuhudia   HD 1080p
    Kumfahamu unayemshuhudia HD 1080p
    1 год назад
  • 1Kor 15: 23-28   HD 1080p
    1Kor 15: 23-28 HD 1080p
    1 год назад
  • ⚡️Узнай правду прямо сейчас! ⚡️
    ⚡️Узнай правду прямо сейчас! ⚡️
    Трансляция закончилась 3 дня назад
  • UCHAMBUZI WA KITABU CHA YONA Part 1A
    UCHAMBUZI WA KITABU CHA YONA Part 1A
    2 года назад
  • Siri ya Kumjua MUNGU | Je, Ayubu Alifahamu Siri hii?? Semina Ya Neno la Mungu na Mwalimu Enock Tuza
    Siri ya Kumjua MUNGU | Je, Ayubu Alifahamu Siri hii?? Semina Ya Neno la Mungu na Mwalimu Enock Tuza
    3 года назад
  • ЛИПСИЦ
    ЛИПСИЦ "Срок - три недели. Готовимся". Что будет с нефтью, КАРТЫ У КРЕМЛЯ, Иран, золото
    6 часов назад
  • Почему ненавидят евреев? Три причины, скрытые за мифами
    Почему ненавидят евреев? Три причины, скрытые за мифами
    Трансляция закончилась 2 дня назад
  • Mungu anatoa ahadi ya Baraka   4K
    Mungu anatoa ahadi ya Baraka 4K
    1 месяц назад
  • Кто переживет войну в Иране?
    Кто переживет войну в Иране?
    3 часа назад
  • ВОЗМОЖНО, ЧТО ВОСХИЩЕНИЕ ПРОИЗОЙДЁТ В ЭТОМ ГОДУ?
    ВОЗМОЖНО, ЧТО ВОСХИЩЕНИЕ ПРОИЗОЙДЁТ В ЭТОМ ГОДУ?
    3 дня назад
  • Uko tayari kumsaidia mwenye shida?   4K
    Uko tayari kumsaidia mwenye shida? 4K
    2 дня назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com