Watu watano wa familia moja wafariki kwenye ajali

Описание к видео Watu watano wa familia moja wafariki kwenye ajali

Watu watano wa familia moja, akiwemo bibi harusi, wamefariki katika ajali katika barabara ya Kakamega - Malaba
Ajali hiyo ya asubuhi ya leo ilihusisha magari matatu. Lori liligongana na trekta kabla ya kupoteza mwelekeo na kugongana na gari dogo. Watu wawili walinusurika wakiwa na majeraha mabaya na wanaendelea kupokea matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Eldoret. Miili ya waliofariki ilipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Webuye.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке