MISUNGWI SEKONDARI WAPATA BWENI LA KISASA “DC ATAKA ONE”

Описание к видео MISUNGWI SEKONDARI WAPATA BWENI LA KISASA “DC ATAKA ONE”

Mkuu wa Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Juma Sweda ameweka jiwe la msingi la ufunguzi rasmi wa bweni jipya na la kisasa katika Shule ya Sekondari Misungwi, lililogharimu zaidi ya shilingi milioni 120 ikiwa ni fedha za Serikali, wananchi pamoja na salio la fedha za matumizi mbalimbali shuleni hapo. #BMGHabari
*****************************************

Karibu BMG ONLINE TV kwa habari na matangazo. Pia tumekuwekea viunganishi vya mitandao yetu mingine hapa chini. Tafadhali usisahau ku-SUBSCRIBE chaneli yetu.
Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/
Facebook @BMG HABARI   / bmghabari  
Twitter @bmghabari   / bmghabari  
Instagram @bmghabari   / bmghabari  
PAMOJA DAIMA BMG

Комментарии

Информация по комментариям в разработке