Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Mhe. Bomboko aagiza kutekelezwa kwa mikakati itakayosaidia kuinua Taaluma Ukerewe.

  • ManumbuTv Update
  • 2023-03-04
  • 164
Mhe. Bomboko aagiza kutekelezwa kwa mikakati itakayosaidia kuinua Taaluma Ukerewe.
  • ok logo

Скачать Mhe. Bomboko aagiza kutekelezwa kwa mikakati itakayosaidia kuinua Taaluma Ukerewe. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Mhe. Bomboko aagiza kutekelezwa kwa mikakati itakayosaidia kuinua Taaluma Ukerewe. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Mhe. Bomboko aagiza kutekelezwa kwa mikakati itakayosaidia kuinua Taaluma Ukerewe. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Mhe. Bomboko aagiza kutekelezwa kwa mikakati itakayosaidia kuinua Taaluma Ukerewe.

02.03.2023

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mhe. Bomboko aagiza kutekelezwa kwa mikakati itakayosaidia kuinua Taaluma Ukerewe.

Na. Dotto Manumbu, Ukerewe.

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza Mhe. Hassan Bomboko ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kikao cha wadau wa Elimu kilichofanyika leo 02.03.2023 katika ukumbi wa mikutano halmashauri ya Wilaya hiyo, ameagiza walimu wapewe kipaumbale katika kupewa huduma pasipo kupanga foleni ili kuwahi shuleni kutimiza majukumu yao ya ufundishaji.

Ameagiza shule zote za Serikalini za Sekondari wilayani hapo kuhakikisha wanafanya midaharo kila siku za ijumaa ili kumjengea uwezo mwanafunzi wa kujieleza kwa Lugha ya kingereza kila siku asubuhi (morning talk)

"Kipaumbele changu ni Elimu, Mwalimu lazima athaminiwe, aheshimiwe, asiwe mnyonge, asipange foleni ofisi za serikali, yaani apate huduma za haraka, aidha, pawepo na motisha kwa walimu wanaofanya vizuri katika ufundishaji wao ili kuchochea nguvu ya ufundishaji kwa watumishi walimu" amesema Mhe Bomboko.

Ameagiza shule za sekondari ziandae kambi za masomo kwa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka huu lengo likiwa ni kuwaandaa wanafunzi vizuri kukabiliana na mtihani wa Taifa, aidha, walimu wa shule za sekondari watumie mbinu ya vikundi katika ufundishaji na ujifunzaji shuleni (Group Discussion).

Mwenyekiti wa kamati za huduma za jamii (Elimu, Afya na Maji) Wilaya hiyo Mhe. Felician Manyonyi ambaye ni Diwani Kata ya Bukongo amewaelekeza Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Waratibu Elimu Kata wakahamasishe kamati za Shule juu ya Lishe kisha kamati hizo zihamasishe WDC na hatimaye jamii kwa ujumla iweze kuhamasika na kuchangia chakula shuleni.

Aidha, Mhe Manyonyi ameahidi kuwasilisha hoja ya msingi ya kamati yake katika Kikao cha Baraza la Madiwani kwa ajiri ya kupitisha sheria ndogo kuhusu Lishe mashuleni itakayoelekeza jamii ihusike kuchangia chakula shuleni.

Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi Mwl. Bahati Mwaipasi amesema kupitia matokeo ya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Wilaya hiyo imepandisha ufaulu kutoka asilimia 73% mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 85.5% kwa mwaka 2022.

Mwl. Mwaipasi amesema Idara itaendelea kutoa motisha zaidi kwa Shule zinazofanya vizuri katika Taaluma ambapo kwa mwaka 2022 Idara ikishirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo imefanikiwa kutenga na kukabidhi fedha kiasi cha zaidi ya shilingi Millioni 6 pamoja na kutoa vyeti ili kutoa motisha kwa Shule zilizofanya vizuri kitaaluma.

Nae Afisa Elimu Sekondari Mwl. Geoge Ogutu ameeleza kuwa Wilaya hiyo ina jumla ya Shule za Sekondari 33, Shule 29 za serikali na Shule 4 za binafsi, Wilaya pia ina chuo 1 cha Serikalini cha Ualimu ambacho ni Murutunguru.

Mwl. Ogutu amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuleta fedha katika halmashauri kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa 76 fedha kutoka KAPU LA MAMA kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ambapo kiasi cha Shilingi Billioni 1.52 kutumika, ujenzi umekamilika kwa 100% na wanafunzi wanatumia madarasa hayo yakiwa na vigae, hewa safi, viti na meza 50 kwa kila darasa.

Kwa upande wake Mthibiti Mkuu Ubora wa Shule Wilaya ya Ukerewe Mwl. Zaituni Kayanda amewaelekeza Walimu kwenda kusimamia ufundishaji na ujifunzaji shuleni kwa kuzingatia sera ya Elimu ya Mwaka 2014 pamoja na miongozo mbalimbali ya Elimu.

Pia amesisitiza kuwa, suala la Lishe shuleni ni suala la msingi hivyo wazazi na jamii kwa ujumla wahamasishwe kuchangia chakula ili wanafunzi wasome kwa afya na utulivu mkubwa wakiwa shuleni.

"Kuna faida nyingi sana mtoto akipata chakula shuleni, mojawapo ya faida hizo ni kuimarisha Afya ya Akili na Mwili, kuhamasisha mahudhurio ya wanafunzi na kumfanya ajifunze katika hali ya utulivu, hivyo kuinua kiwango cha Elimu na ufaulu kupanda" amesema Kayanda.

Kwa upande wake Mwakilishi wa TAHEA Wilaya Mwl. Magreth David (Afisa Ajira) amesema mpaka sasa TAHEA imekamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 12 ambayo ni bora kwa ufundishaji na ujifunzaji kwa watoto wa awali, ametoa rai kwa viongozi wote ngazi ya Shule na Kata kuendelea kutunza miundombinu ya vyumba vya madarasa hivyo ili wanufaika waendelee kufaidi zaidi ambao ni watoto wa awali na si vinginevyo" amesema Mwl. David.

Afisa Elimu Maalum Mwl. Francis Matiko amepongeza jitihada na makusudio ya serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalum wanapatiwa huduma sawa na wengine.

Kwa kuzingatia hilo halmashauri ya Ukerewe chini ya usimamizi wa Mkurugenzi Mtendaji Emmanuel Sherembi imeendelea kuhudumia wanafunzi wenye mahitaji maalum kupitia shule (vitengo) vinne (04) ambavyo ni Nansio, Kagera, Murutilima na Murutunguru, pia kupitia mfumo wa elimu jumuishi, wanafunzi wapatao 541 wanapata elimu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Кремль готовится к штурму / Переброска элитных подразделений
    Кремль готовится к штурму / Переброска элитных подразделений
    1 час назад
  • ⚡️Пекин В ЯРОСТИ! Срочный ПРИКАЗ ПО МОСКВЕ. Кремль СЛИЛ Иран. Трамп ПОДНЯЛ ВСЕХ: УДАР готов. Лучшее
    ⚡️Пекин В ЯРОСТИ! Срочный ПРИКАЗ ПО МОСКВЕ. Кремль СЛИЛ Иран. Трамп ПОДНЯЛ ВСЕХ: УДАР готов. Лучшее
    9 часов назад
  • Четверо арестованы по подозрению в размещении взрывчатых веществ на мотоцикле.
    Четверо арестованы по подозрению в размещении взрывчатых веществ на мотоцикле.
    1 день назад
  • ШУЛЬМАН: новая мобилизация, уход Путина, смута. Чебурнет. Большое интервью / МОЖЕМ ОБЪЯСНИТЬ
    ШУЛЬМАН: новая мобилизация, уход Путина, смута. Чебурнет. Большое интервью / МОЖЕМ ОБЪЯСНИТЬ
    19 часов назад
  • DW KISWAHI LEO JUMAPILI/HALI YA VITA IRAN NA MAREKANI BADO TETE
    DW KISWAHI LEO JUMAPILI/HALI YA VITA IRAN NA MAREKANI BADO TETE
    16 часов назад
  • WAMASAI WANYOOSHA MAELEZO  MBELE YA WAZIRI MKUU
    WAMASAI WANYOOSHA MAELEZO MBELE YA WAZIRI MKUU "HATUJALIPWA NA TUMEACHISHWA KAZI BILA YA BARUA"
    2 дня назад
  • Денег не выдают! Россиян прогрели на заморозку вкладов. Банковская ловушка: карты блокируют повально
    Денег не выдают! Россиян прогрели на заморозку вкладов. Банковская ловушка: карты блокируют повально
    1 день назад
  • DARAJA LA KIGONGO - BUSISI KUZINDULIWA JUNE 19, 2025
    DARAJA LA KIGONGO - BUSISI KUZINDULIWA JUNE 19, 2025
    8 месяцев назад
  • Взрыв на объекте США / Экстренная посадка самолёта
    Взрыв на объекте США / Экстренная посадка самолёта
    11 часов назад
  • 🔥ЯКОВЕНКО РАЗНОСИТ Соловья! Не подбирает слов в эфире. Разоблачил ПОЗОРНЫЕ ПРЕДСКАЗАНИЯ о Путине
    🔥ЯКОВЕНКО РАЗНОСИТ Соловья! Не подбирает слов в эфире. Разоблачил ПОЗОРНЫЕ ПРЕДСКАЗАНИЯ о Путине
    1 день назад
  • ⚡️ОРБАН ОТРИМАВ ВКАЗІВКУ! Путін віддав наказ по Угорщині. Кремль це ретельно приховував! ЗАГОРОДНІЙ
    ⚡️ОРБАН ОТРИМАВ ВКАЗІВКУ! Путін віддав наказ по Угорщині. Кремль це ретельно приховував! ЗАГОРОДНІЙ
    1 день назад
  • КРИЗИС ДОБРАЛСЯ ДО МОСКВЫ/ ВОЙНА В ИРАНЕ — ПОДАРОК ПУТИНУ/ ЖЕСТКИЙ СРАЧ ЦБ И МИНФИНА. Милов
    КРИЗИС ДОБРАЛСЯ ДО МОСКВЫ/ ВОЙНА В ИРАНЕ — ПОДАРОК ПУТИНУ/ ЖЕСТКИЙ СРАЧ ЦБ И МИНФИНА. Милов
    11 часов назад
  • IGIZO
    IGIZO
    2 недели назад
  • США просят Россию не помогать Ирану. Дело из-за рекламы в YouTube. Беременность в подарок на 8 марта
    США просят Россию не помогать Ирану. Дело из-за рекламы в YouTube. Беременность в подарок на 8 марта
    Трансляция закончилась 10 часов назад
  • 💥У Си ЛОПНУЛО ТЕРПЕНИЕ! Трамп ОПУСТИЛ Китай. Война в Иране ЭТО ТОЛЬКО НАЧАЛО. ГОРДОН
    💥У Си ЛОПНУЛО ТЕРПЕНИЕ! Трамп ОПУСТИЛ Китай. Война в Иране ЭТО ТОЛЬКО НАЧАЛО. ГОРДОН
    18 часов назад
  • Новая мобилизация. Война в Иране — подарок Путину. Отключение интернета в Москве| Пастухов, Еловский
    Новая мобилизация. Война в Иране — подарок Путину. Отключение интернета в Москве| Пастухов, Еловский
    15 часов назад
  • 🔴 СРОЧНО ТЕГЕРАН: ГОРЯТ МИЛЛИОНЫ ТОНН НЕФТИ, ПРОШЕЛ КИСЛОТНЫЙ ДОЖДЬ #новости #одиндень
    🔴 СРОЧНО ТЕГЕРАН: ГОРЯТ МИЛЛИОНЫ ТОНН НЕФТИ, ПРОШЕЛ КИСЛОТНЫЙ ДОЖДЬ #новости #одиндень
    11 часов назад
  • 💥Трампа СНЕСУТ ПОСЛЕ ЭТОГО. ФБР ОБНАРОДОВАЛО жесткий КОМПРОМАТ. Все в ШОКЕ @МирВранья
    💥Трампа СНЕСУТ ПОСЛЕ ЭТОГО. ФБР ОБНАРОДОВАЛО жесткий КОМПРОМАТ. Все в ШОКЕ @МирВранья
    1 день назад
  • Путин закашлялся. Война в Иране продолжается. Женщины берут власть. Белковский*: УР
    Путин закашлялся. Война в Иране продолжается. Женщины берут власть. Белковский*: УР
    13 часов назад
  • Иран. Как разнести весь мир
    Иран. Как разнести весь мир
    2 дня назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com