Ni chakula au takataka? | Mkahawa wafungwa kwa sababu ya uchafu Nairobi

Описание к видео Ni chakula au takataka? | Mkahawa wafungwa kwa sababu ya uchafu Nairobi

Mtazamaji huenda chakula unachonunua kandokando ya barabara na hoteli za mabanda hapa Nairobi kikakudhuru kwani maandalizi ya baadhi ya vyakula inafanywa kwa mazingira chafu. Ziara ya idara ya mazingira ya kaunti ya Nairobi imebaini kuwa wamiliki hawatilii maanani masharti ya biashara ya vyakula

Комментарии

Информация по комментариям в разработке