HATMA PART 1:SIMULIZI FUPI

Описание к видео HATMA PART 1:SIMULIZI FUPI

SUNII binti ambae wazazi wake wanafariki akiwa bado binti mdogo na anaachiwa wadogo zake wawili... Maisha ya kulala nje na kula kwa kuunga unga na wadogo zake majalalani ndio maisha yake ya udogoni.. Safari yao haikua nyepesi lakini HATMA ya kila mwanadamu ipo mikononi mwake Allah.. Sikiliza mkasa huu wa kusisimua...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке