"Niliteeni Huyo Bachu nimfundishe mimi Maana asiyefunzwa na wazazi Hufunzwa na Dunia" Babu Shadhuliy

Описание к видео "Niliteeni Huyo Bachu nimfundishe mimi Maana asiyefunzwa na wazazi Hufunzwa na Dunia" Babu Shadhuliy

Katika Hafla ya Maulidi ya Madrasat Shadhuliy Huko Dodoma Kumeibuka mengine mazito baada ya Mzee aliyetambulika kwa Jina la Babu Shadhuliy ambaye pia ni Miongoni mwa wanawazuoni wakubwa Wa kitwariqa Katika Ukanda wetu wa East Africa baada ya kuhitaji kuletewa kijana bachu amfunze kwa kusema ya kwamba "Kijana huyu hajafunzwa na wazazi wake nileteeni nimfunze kwani hakuna mtu mwenye Elimu wala Uwezo wa kumkosoa Barazanji ukiona Hivyo ujue ni Adabu tu hakuna hivyo anahitaji mafunzo"" aliyasema hayo katika hadhara Hiyo

Tazama zaidi kuona na usisahau kugusa Alama ya neno ya #subscribe #like #share #comment katika channel yetu ya ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬ kwa matukio zaidi
hakika yetu sisi Tunasema Ulipo Tupo
#ulipotupo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке