Raila wa handisheki

Описание к видео Raila wa handisheki

Kwa mara nyingine, Raila Odinga amerejea serikalini kupitia makubaliano na muungano na serikali inayotawala. Raila si mgeni kufanya makubaliano na kubuni serikali za miungano licha ya kushindwa kwenye uchaguzi mkuu. Hii ikiwa ni mara yake ya Nne kwa Odinga kufanya maelewano na marais walio mamlakani. Seth Olale anaangazia nyayo hizi za Raila kwenye utawala wa marais wa zamani, Marehemu Daniel Arap Moi, Marehemu Mwai Kibaki na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta...Sasa, historia hii imejirudia kwenye utawala wa rais wa tano wa Kenya William Ruto.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке