NAWATANGAZIA ......Mashahidi Kwaya KKKT Ibaga

Описание к видео NAWATANGAZIA ......Mashahidi Kwaya KKKT Ibaga

Wimbo mpya kutoka Mashahidi Kwaya KKKT Ibaga unaitwa NAWATANGAZIA. Huu wimbo umelenga kuwatangazia wanadamu uweza na nguvu za Mungu kwenye maisha yetu. Sikiliza na tazama video ya wimbo huu uweze kujifunza mambo mengi yanayoelezea uweza wa Mungu wetu. Ili uendelee kupata mambo mazuri yote kutoka kwenye hii channel yetu, Usisahau kubonyeza SUBSCRIBE. Karibu na Mungu akubariki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке