JINSI YA KUPANGA BAJETI - HATA KAMA MSHAHARA NI MDOGO

Описание к видео JINSI YA KUPANGA BAJETI - HATA KAMA MSHAHARA NI MDOGO

Katika video ya leo nitakuonyesha jinsi ya kupanga bajeti hata kama mshahara wako ni mdogo,watu wengi wamekuwa wakilalamika pesa wanazopata hawajui zimeishaje hii yote ni kwa sababu ya kutokupanga bajeti au kutokujua njia sahihi ya kupanga bajeti.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке