Majonzi yatanda wakati wa ibada ya kuwakumbuka wanafunzi 21 waliofariki kwenye mkasa wa moto

Описание к видео Majonzi yatanda wakati wa ibada ya kuwakumbuka wanafunzi 21 waliofariki kwenye mkasa wa moto

Simanzi ilitanda wakati wa ibada ya pamoja ya kuwakumbuka wanafunzi 21 waliofariki kwenye mkasa wa moto katika shule ya Hillside, Endarasha Kaunti ya Nyeri. Aidha, ibada maalum ilifanywa kwa wanafunzi wengine 17 ambao kufikia sasa hawajulikani hatma yao, maswali yakiendelezwa kuhusu usalama wa wanafunzi shuleni. Kamau Mwangi anaarifu huku ukaguzi wa chembechembe za msimbojeni wa DNA unatarajiwa kuanza hapo kesho

Комментарии

Информация по комментариям в разработке