Wanafunzi zaidi washindwa kujiunga na vyuo vikuu

Описание к видео Wanafunzi zaidi washindwa kujiunga na vyuo vikuu

Wanafunzi zaidi wamesalia kwenye njiapanda kuhusiana na safari yao ya elimu ya vyuo vikuu kufuatia uhaba wa karo kutokana na mfumo mpya ulioanzishwa na serikali. Wanafunzi waliotuma maombi kupata ufadhili sasa wakishindwa kumudu karo baada ya kuwekwa kwenye daraja wasizostahiki. Brenda Wanga alizungumza na familia za wanafunzi hawa ambao sasa wanasema watalazimika kusitisha mipango yao ya masomo kwani hawana uwezo...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке