Mutra avunja ukimya kwa Jack Wolper ( Reel Film )

Описание к видео Mutra avunja ukimya kwa Jack Wolper ( Reel Film )

Msanii wa Filamu nchini ambae kwasasa anafanya vizuri sana katika tasnia ya filamu ajulikanae kwa jina la @mutrah1,amepiga story na Dizzim Online kupitia kipindi cha Reel Film.Moja kati wa mambo aliyozungumzia ni pamoja na kuelezea sababu za kuonekana Soko la Filamu limeshuka,Sababu za kushindwa kuwa na mahusiano ya kudumu na wasanii wa kike ndani ya Tasnia ya filamu nchini pia kazungumzia story yake kwa ujumla jinsi alivyoshawishika kuingia katika sanaa hiyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке