MJUE LUHAGA MPINA ALIYEGEUKA MSUMARI wa MOTO kwa SERIKALI - MAGUFULI AKAMTEUA AKAACHWA SOLEMBA...

Описание к видео MJUE LUHAGA MPINA ALIYEGEUKA MSUMARI wa MOTO kwa SERIKALI - MAGUFULI AKAMTEUA AKAACHWA SOLEMBA...

MJUE LUHAGA MPINA ALIYEGEUKA MSUMARI wa MOTO kwa SERIKALI - MAGUFULI AKAMTEUA AKAACHWA SOLEMBA...


Katika Bunge lililomalizika hivi karibuni ambalo lilipata fursa ya kujadili kuhusu madudu ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Mbunge wa Jimbo la Kisesa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Joelson Mpina alikuwa mkali mno akitaka hatua kadha wa kadha zichukuliwa na wale wote wanahusika katika ubadhirifu, ufisadi na wizi wa fedha na mali za umma.

Mpina alikwenda mbali zaidi akimtaka Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa wafunguliwe mashataka ya uhujumu uchumi akidai wamefanya ubadhirifu katika mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), roti ya tatu na nne.
\

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке