THE CLASSIC MASANJA PART 2 EP 1:NILIFUKUZWA ZAIDI YA MARA NNE SIKUKATA TAMAA/IMANI ZA WAGANGA

Описание к видео THE CLASSIC MASANJA PART 2 EP 1:NILIFUKUZWA ZAIDI YA MARA NNE SIKUKATA TAMAA/IMANI ZA WAGANGA

Kama maombi ya wengi yalivyotaka Masanja Mkandamizaji amerudi tena kwa mara ya pili katika meza ya The Classic akiendelea kutupa simulizi kali na za kusisimua juu ya maisha yake ya sanaa na menginge nje ya sanaa kiujumla,episode Masanja anaeleza namna alivyokutana na vizingito vizito kila alipofanikiwa hatua moja lakini hakukata tamaa kabisa na kusonga mbele

Комментарии

Информация по комментариям в разработке