ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Kila mwanadamu ndani yake kuna uwezo ambao Mungu ameuweka,na sababu za Mungu kuuweka huo uwezo ndani yako ni kwa sababu kupitia hicho anategemea faida kutoka kwako.Njia hii ukiigundua na kupita ni njia iliyojaa faida nyingi.Wengi tunapitia changamoto sana kwa sababu njia tunazopita sio njia tulizoumbiwa kupita,kazi tunazofanya sio kazi ambazo Mungu ametuumbia kuzifanya.Mungu ameweka vipawa na uwezo mkubwa sana ndani yetu,lakini kwanini havizai matunda?
Kupitia somo hili utajifunza kwa undani kama upo kwenye njia sahihi au la,na kupitia hili somo ufahamu wako pia utaenda kufunguka.

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook:   / therealityof.  .
Follow our Instagram:   / realityofch.  .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке